Tuesday, December 19, 2017

Maana na matumizi ya sarafu ijulikanayo kama BITCOIN.




BITCOIN nini?

Bitcoin ni pesa ya kidigitali ama wanaita digital currency au crypto currency....pesa hii ya kidigitali haina tofauti na mpesa ama tigopesa...hapa namaanisha nini...ukiwa na 50,000 mpesa hiyo ni digital(number) na si paper notes....hivyo hata BITCOIN si kwamba ni coin ama sarafu bali ni number kama mpesa etc....hii ni kama technology zingine...mfano ukinunua vocha unapata numbers,kuinunua umeme unapata tokens(numbers) lakini hizi numbers zinakuwa value carrier..na unique..

Hii pesa ya kidigitali inakuja kuboresha na kupanua uwigo wa mobile money transactions kama mpesa etc....kwa kufanya utumaji wa pesa duniani kupitia simu za mkonini Bila kikwazo.... 

Haya yote yamewezekana kwa kugundulika kwa technology mpya duniani iitwayo blockchain technology (digital ledge) daftar la kumbukumbu la kidigitali linalofanya miamala (transactions) na kutunza kumbukumbu automatically bila kuhitaji mtu wa kati (middle man) .... 
Kwa kusema hivyo kupitia digital currency (pesa ya kidigitali) soon tutatuma pesa popote pale duniani instantly kutumia simu zetu za mkononi....kama tunavyotuma mpesa kijijini kwa babu...instantly... 

Tofauti na mpesa ambayo inatumia network za simu...digital currency inatumia Internet (blockchain) .......Kwa mfano MPESA,TIGOPESA,Z-PESA NA AIRTEL MONEY zimeshindwa kuwa global maana zinategemea network za simu ..digital currency itakuwa global kwa kuwa inatumia Internet...this means soon utatuma pesa popote pale duniani kama unavyotuma email etc... 

Kuna zaidi ya watu 3.3 bilion duniania wanaotumia Internet na ifikapo 2020 tutakuwa 5bil sasa kwa technology hii mambo yatakuwa mwendo mdundo......na ifikapo 2020, 90% ya watu duniani watamiliki simu za mkononi......

kumb: jamii forum.

No comments:

Post a Comment